Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Wale ambao washawahi kuwa na mademu watatu wenye wivu na wanaotaka kuonana nao kila siku bila wewe kuwa na kisingizio chochote njooni tusaidiane!
Kuna mademu wanaganda zaidi ya kupe!imagine kila siku nikutane na mademu wote watatu!demu hata ukimwambia umetekwa anataka aje huko huko ulipotekwa,ukimwambia upo hospitali anataka aje hukohuko,ukimwambia upo kituoni anataka aje huko huko!
Team kiume njooni tupeane maujanja