Njooni tujifunze Kingereza kwa kuandika na kuongea

He's the one with whom she's dating.
or
He's the one she's dating with.

Which one is correct!?.

Sentensi #1; Yeye ambaye kwaye anayo mahusiano naye.

Sentensi #2; Yeye ambaye anayo mahusiano naye.

I think there is no big difference. I stand to be corrected .
 
Jamani napenda mno kujifunza Kingereza na ukizingatia sasa hivi kila sehemu ni ENGLISH sasa wale tulosoma kayumba njooni tujifunze kuandika na kuongea hapa.

Najua wengi wetu humu watakuwa wanaturekebisha sisi wanafunzi. Utakapokosolewa usikasirike ndo mwanzo nwa kujifunza.

Hatua ambayo ninayo mimi najua kusoma na kusikia KINGEREZA ila kimbembe kipo kwenye kuandika na kuongea aseee ulimi unakuwa mzito mpaka basi.

Pia kama kuna app za kujifunzia mtusaidie. Kama wewe unajifunza kama mimi comment hapa chini kwa ENGLISH.

Thanks...🙏🙏

Waziri wa Elimu amekwisha piga ripoti hapo?
 
Kama unajiweza hata kusafiri kwenda kwa wasioongea kiswahili itakusaidia, Malawi, Zambia,Uganda etc japo kusikiliza international media's kama BBC, aljazeera, Dw, French 24,Sky news, CNN, African news ,achana na kina klauzi, Etv, Star TV hawatakufundisha kitu
 
Appreciated... Would you mind to write your next text in English?
 
Jamani napenda mno kujifunza Kingereza na ukizingatia sasa hivi kila sehemu ni ENGLISH sasa wale tulosoma kayumba njooni tujifunze kuandika na kuongea hapa.

Najua wengi wetu humu watakuwa wanaturekebisha sisi wanafunzi. Utakapokosolewa usikasirike ndo mwanzo nwa kujifunza.

Hatua ambayo ninayo mimi najua kusoma na kusikia KINGEREZA ila kimbembe kipo kwenye kuandika na kuongea aseee ulimi unakuwa mzito mpaka basi.

Pia kama kuna app za kujifunzia mtusaidie. Kama wewe unajifunza kama mimi comment hapa chini kwa ENGLISH.

Thanks...🙏🙏
Ulipata App ya kujifunza English?
Did it help you?
Please share result and progress ...
 
Back
Top Bottom