Njooni tufahamiane wana MMU

Njooni tufahamiane wana MMU

Sema sema baba natafuta wakala wa max malipo sasa sijui wewe ni wakala wa.......

Accupation:muuza mayai,max malipo na mimi wapi na wapi!
Free agent means sijapewa limbwata nitulie,tehtehteh hiyo iko poa.
 
Accupation:muuza mayai,max malipo na mimi wapi na wapi!
Free agent means sijapewa limbwata nitulie,tehtehteh hiyo iko poa.

Ewe mmiliki wa mali hii na mpige limbwata la chupa kabisa atulie......upo kwenye maombi yangu utakuja kushuhudia hapa ukiwa committed agent
 
Hizi ni false accusations tu mkuu

Mm natafuta mke na niko serious coz nimeanza kuzeeka, kuna ubaya gani hapo?

Ndio ulipoharibu.
Ukiishia hapa watu tunaenda hatua zaidi mbele... haijalishi tutapotea au tutapatia.
 
Back
Top Bottom