Njooni msome muone wenyewe

Waliohusika na sheria hiyo wote hawana akili. Mtu anayejitafuta na kuamua kufunga ndoa na kufanya sherehe ukumbini anabebeshwa zigo lote hilo badala ya serikali kumlipia mahari na kumpa nyumba ya kuanzia maisha kwani kajiepusha na lile genge la kataa ndoa na waonesha migongo.
 
Hivi watu wakiamua wasifanye hizo sherehe , tozo wataipatia wapi?
Hatuwez toka kwenye radar, wana sehemu nyingi za kutubana. Wakisema now tunaongeza tozo kwa kila unaponunua luku unahis watu watalala giza kiongozi. Tumeshajulikana ni watu wajinga wajinga, tunalalamika siku 2 then tunakubali kupelekewa moto.
 
Wako sawa,, harusi zenyewe gharama kubwa na hazidumu hata miezi miwili,, kwanza wanapiga padogo,, wamebonda bila kunyonga,,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…