Njooni huku Kusini tulime

Njooni huku Kusini tulime

Haya nasema njooni huku kusini tulime acheni kulaumu tu kila kukicha mara serikali hivi mara JPM vile,njooni majembe yapo for free na mashamba yapo free vile vile. Mmenielewe lakini?

Sent from my SM-T355 using JamiiForums mobile app
Sehemu gani

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Haya nasema njooni huku kusini tulime acheni kulaumu tu kila kukicha mara serikali hivi mara JPM vile,njooni majembe yapo for free na mashamba yapo free vile vile. Mmenielewe lakini?

Sent from my SM-T355 using JamiiForums mobile app
Mkuu mm nimepata uamisho nina wiki mbili hapa Ruvuma naomba nikuone,Sababu napenda kilimo ili unipe mwanga pa kuanzia 0765505756

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya nasema njooni huku kusini tulime acheni kulaumu tu kila kukicha mara serikali hivi mara JPM vile,njooni majembe yapo for free na mashamba yapo free vile vile. Mmenielewe lakini?

Sent from my SM-T355 using JamiiForums mobile app
UNGEFUNGUKA ZAIDI
 
Back
Top Bottom