Heri ya mwaka mpya wadau wa jukwaa hili na nina matumaini yangu kua mipango na mikakati ya kuuanza mwaka inaendelea na moto utabaki ule ule hadi 31 st dec inshaallah,Mungu atupe uzima.sasa basi tukiachana na ayo mimi nimekuja na thread hii ili kuweza kupata mawazo yenu mawili matatu,kuna mschana yupo chuo maeneo ya apa apa mjini,sasa ni mjasiriamali wa biashara ndogo ndogo,kauza maji ya kunywa pale chuoni,pads,nguo,viatu na vitu kadhaa.Sasa alipatwa na matatizo kidogo so ule mtaji pamoja na faida aliokua anapata ikaishia kufix matatizo yale.kwa sasa ana kiasi cha laki mbili tu na anaomba ushaur wa idea gani ya biashara anaweza kufanya maeneo yale au labda kokote pale sababu zile biashara alizokua anafanya zimekua na wauzaji wengi kwa sasa so anahitaji kucome up na idea ya kipekee ambayo inshallah inaweza msaidia kwenye mahitaj yake madogo madogo ya kila siku.
N//B:yupo mwaka wa mwsho kwa sasa so akipata biashara inayoweza kua long-term itakua vizur zaidi hata hapo atakapomaliza.
P/S;Kama una ushauri karibu sana sana,nahitaji mawazo yako,kama huna la maana la kuandika pita kimya kimya tafadhali,nawasilisha.