Njoolay ateuliwa kuwa balozi

Njoolay ateuliwa kuwa balozi

sarame2001

Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
9
Reaction score
2
Hatamaye rais KIKWETE amemteua mh. Daniel Ole Njoolay aliyewahi kuwa mkuu wa mikoa ya ARUSHA, MWANZA NA RUKWA KUWA BALOZI WA TZ Nigeria
 
Huyo jamaa ni noma. hata kikwete anajua ni mchapa kazi asiyependa vyombo vya habari
 
Hatamaye rais KIKWETE amemteua mh. Daniel Ole Njoolay aliyewahi kuwa mkuu wa mikoa ya ARUSHA, MWANZA NA RUKWA KUWA BALOZI WA TZ Nigeria

alisharudisha ardhi aliyompora mwananchi huko arusha?
 
hana background ya international relations, watu wenye uwezo na taaluma wapo lakini uchama unatawala zaidi. Siungi mkono makanjanja kutuwakilisha nje ya nchi !!
 
Mwenyekiti wangu wa kamati ya maendeleo KKKT Mtaa wa Njiro.Tutakukumbuka kwa juhudi zako za dhati za kuhamashisha michango kwaajili ya mabenchi ya kukalia.Unaondoka wakati bado tulikuwa tunakuhitaji sana.

Mungu akubariki kwa kazi nzuri na njema.
 
Huyu jamaa amekuwa kimya sana hata hivyo nampongeza mh jk.
 
Mwenyekiti wangu wa kamati ya maendeleo KKKT Mtaa wa Njiro.Tutakukumbuka kwa juhudi zako za dhati za kuhamashisha michango kwaajili ya mabenchi ya kukalia.Unaondoka wakati bado tulikuwa tunakuhitaji sana.

Mungu akubariki kwa kazi nzuri na njema.
Ngongo, Kumbe Tunasali Kanisa moja? Lakini Jamaa hajafa yuko hai, akiwa Likizo tutaungana naye tena, isitoshe mabenchi bado kama M6 hivi!
 
Huyu alitakiwa ateuliwe kuwa Mbunge na moja kwa moja apewe uwaziri wa nchi ofisi ya Rais, utawala bora - maana kwa sasa pale pamepwaya.
 
Ngongo, Kumbe Tunasali Kanisa moja? Lakini Jamaa hajafa yuko hai, akiwa Likizo tutaungana naye tena, isitoshe mabenchi bado kama M6 hivi!

Kwani mlikuwa mnamtegemea yeye tu? Basi Mwombeni awatumie mabenchi ya Ki-nigeria au mwandikieni barua ya maombi ya mabench ili akawaombee kwa Olusegun Obasanjo na kwa Yala Dwar.
 
Mwenyekiti wangu wa kamati ya maendeleo KKKT Mtaa wa Njiro.Tutakukumbuka kwa juhudi zako za dhati za kuhamashisha michango kwaajili ya mabenchi ya kukalia.Unaondoka wakati bado tulikuwa tunakuhitaji sana.

Mungu akubariki kwa kazi nzuri na njema.

We vipi mbona kama unasoma wosia?Is bado yuko hai?Hata akiwa nchi gani bado mnaweza kumtumia
 
Back
Top Bottom