Njoolay ateuliwa kuwa balozi

Njoolay ateuliwa kuwa balozi

Mwenyekiti wangu wa kamati ya maendeleo KKKT Mtaa wa Njiro.Tutakukumbuka kwa juhudi zako za dhati za kuhamashisha michango kwaajili ya mabenchi ya kukalia.Unaondoka wakati bado tulikuwa tunakuhitaji sana.

Mungu akubariki kwa kazi nzuri na njema.
Mkuu Ngongo,

Njoolay, ni mchapa kazi sana namkubali sana huyu ndiyo kaliweka jiji la Mwanza katika plan.
 
Last edited by a moderator:
Hatamaye rais KIKWETE amemteua mh. Daniel Ole Njoolay aliyewahi kuwa mkuu wa mikoa ya ARUSHA, MWANZA NA RUKWA KUWA BALOZI WA TZ Nigeria

Watu walio choka mwili na akili ndio wanaenda kuwakilisha nchi! Njoolay anakua balozi kwa lipi jipya alilo nalo??????
 
Hongera Rais Kikwete na Hongera Balozi Njoolay
 
hana background ya international relations, watu wenye uwezo na taaluma wapo lakini uchama unatawala zaidi. Siungi mkono makanjanja kutuwakilisha nje ya nchi !!
Naipendaga sana hii nukuu na hasa hapa kwetu imekuwa halisi kupitiliza!
"One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors." #Plato
 
Watu walio choka mwili na akili ndio wanaenda kuwakilisha nchi! Njoolay anakua balozi kwa lipi jipya alilo nalo??????
Mh. JK karudi tu juzi kutoka Austria na kama sikosea theme ya mkutano ilihusu 'new ideas', huwezi jua hii ni katika utekelezaji wa aliyojifunza huko!
 
Huyu mzee anapenda sana masuala ya uwekezaji. Amefanya makongamano ya uwekezaji katika mikoa ya mwanza na rukwa wakati akiwa mkuu wa mikoa hiyo. Sasa ni muda muafaka wa kutuletea wawekezaji kutoka nigeria waje wafufue uchumi wetu!
 
Kamanda umemjua lini Ole Njoolay?

Sio habari ya kumjua lini hawa wazee wanapumzika lini? Wamechoka bana,tangu enzi za TANU wapo tu,ana jipya gani kwa sasa mzee yule??? Habari ya kupeana nafasi kuwa alikua youth league ni story za zamani,tuna hitaji kuwakilishwa na watu wenye mawazo ya kusaidia nchi,kuna wanasiasa wengi vijana ndani ya CCM na hata wizara ya mambo ya nje wateuliwe hao na sio hawa wazee ambao hawana jipya tena!!!
 
Huyu mzee anapenda sana masuala ya uwekezaji. Amefanya makongamano ya uwekezaji katika mikoa ya mwanza na rukwa wakati akiwa mkuu wa mikoa hiyo. Sasa ni muda muafaka wa kutuletea wawekezaji kutoka nigeria waje wafufue uchumi wetu!

Hana jipya bwana tatizo hakujiandaa kimaisha ana adhilika mtaani wameona wamstiri kwa kumpa ka ubalozi!!!
 
Katika hali ya kushangaza aliyewahi kuwa mkuu wa mikoa ya ARUSHA, MWANZA NA RUKWA amekaa nyumbani kwa takribani miaka miwili sasa. chakushangaza ni kwamba mkuu huyu ni chapakazi asiye kifani tena asiyependa makuu na vyombo vya habari. Tangu asimamishwe na kuahidiwa kuwa atapewa kazi maalumu hajawa kutokeza hata kidogo kuongelea masaibu haya yalompata mtu huya anayependa maendeleo. Hatimaye tarehe 28/08/2013 rais kikwete amemteua kuwa balozi wa TANZANIA nchini NIGERIA, na uteuzi huu unaanza mara moja. Kitu kingine nachojiuliza ni kwamba kwanini rais amempa STELLA MANYANYA Awe mkuu wa mkoa huo ili hali ni mbunge? lakini mwanaccm huyu mpole amenikosha kwani baada ya kustaafishwa hajakimbilia vyombo vya habari ila alienda nyumba kwake.
 
Kuonyesha c wana chachama wote wameharibika
 
Hivi unamjua kwa umri? Ulikuwa unataka aendelee na kazi mpaka lini?
 
Kila la kheri Mtumishi huyo.
Mvumilivu hula mbivu.
Lakini Njolaay ilibaki kidogo ale mbovu, makundi ya Urais yalimtesa, kama Membe ataoteshwa kuwa Rais kuna watu 11 watakuwa kama Njolaay wakiwemo waandishi wawili, Hayo sio yangu ni ya Membe.
 
Back
Top Bottom