njoo upime ujinga

njoo upime ujinga

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
483809_239859456152226_1425491959_n.jpg
 
Kuipa tu mashine hela ni ujinga, sasa unapima nn tena?
 
unaweka, mashine inakutukana kisha inakulamba makofi mawili afu inakutoa balu...''toka hapa''
 
Ingewekwa nje ya jengo la bunge, nina mashaka wabunge wengi wa CCM wangepoteza kumi kumi zao. Kwa namna ile walivyoiuza dhahabu ya nchi kwa mrabaha wa 3% kwa 97% sidhani kama watasita kuweka 10,000 humo.

Mungu tunusuru!
 
Back
Top Bottom