kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Jun 24, 2013 #1 Unaona mwenzio alikuja na kageuka paka?
S SURUMA JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,892 Reaction score 1,068 Jun 24, 2013 #2 Matisho tuuu!! Nikija KATIKA SURA YA PANYA ukanigeuza PAKA huoni kuwa itakuwa ni PROMOTION???
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,361 Jun 24, 2013 #3 Daaah kwa hiyo wewe ni mkali??? Ngoja nikujaribu, hebu angalia kama nyeti zako zipo?
Komeo JF-Expert Member Joined May 3, 2011 Posts 2,498 Reaction score 1,172 Jun 24, 2013 #4 Acha mikwara. Ni mikwara mbuzi ya hivi hivi walichimbana watoto ikaleta mtafaruku huko Mbagala baada ya watu wazima kuingilia kati michezo ya watoto!
Acha mikwara. Ni mikwara mbuzi ya hivi hivi walichimbana watoto ikaleta mtafaruku huko Mbagala baada ya watu wazima kuingilia kati michezo ya watoto!
Mtingaji JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 1,223 Reaction score 367 Jun 24, 2013 #5 Imani mbofumbofu karne ya 21. Wachawi na wanga hawafai kuachwa waishi maana wanarudisha juhudi za maendeleo nyuma.
Imani mbofumbofu karne ya 21. Wachawi na wanga hawafai kuachwa waishi maana wanarudisha juhudi za maendeleo nyuma.