Njoo ukutane LIVE na Bujibuji

Njoo ukutane LIVE na Bujibuji

Mbeya tuna vipaji vya dini sana sishangai bujibuji kuwa pastor.Wachungaji digitally[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bujibuji nadhani ukiwa comedian itapendeza zaidi kuliko ukiwa Pastor.

Ni mtazamo tu
 
Kila nikiona ID yako nakumbuka walichokufanyia mod mwaka ule sijui 2013 kwamba kila ukitembea vijana wanakupigia miluzi kwa sababu umejazia mzigo.
Ukaenda mbali zaidi kwamba umejaribu kuubana na taiti na pichu mbili lakini wapi, wesele linacheza tu teh teh teh.
 
Duu hivi bujibuji ndio kuna stori humu sijui bikini nini au ?
 
English service mass will be held on this Saturday of 7th May at Mwenge, opposite KKKT.
Njoo ufunguliwe kutoka kwenye vifungo vyako vya kiafya, uchumi na elimu.
Come one Come all.

18221642_1555769717790109_4147106158594951796_n.jpg


Maneno ya kwenye picha ni ya mpiga picha
sawa mkuu mim nitakuja tuombe uzima
 
Back
Top Bottom