Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
Amen amen...Valentina, Bwana asifiwe!
Naona unamshushua mtumishi apo teh
Amen amen...Valentina, Bwana asifiwe!
MtuiEnglish service mass will be held on this Saturday of 7th May at Mwenge, opposite KKKT.
Njoo ufunguliwe kutoka kwenye vifungo vyako vya kiafya, uchumi na elimu.
Come one Come all.
![]()
Maneno ya kwenye picha ni ya mpiga picha
Naminaiomba hiyo dawa yakiparabujibuji njoo nikupe dawa ya kipara
Bora umewarahisishia kazi watekajiEnglish service mass will be held on this Saturday of 7th May at Mwenge, opposite KKKT.
Njoo ufunguliwe kutoka kwenye vifungo vyako vya kiafya, uchumi na elimu.
Come one Come all.
![]()
Maneno ya kwenye picha ni ya mpiga picha
Watateka jiweBora umewarahisishia kazi watekaji
Hivi unajua matusi ya kizungu na kiswahili hayaumi?we tapeli unajifanya mtu wa dini shame on you
Kipara ni wito,sio kila MTU anacho. Endelea kufurahia kipara chakoNaminaiomba hiyo dawa yakipara
wewe ni tapeli wa injiliHivi unajua matusi ya kizungu na kiswahili hayaumi?
Sasa kipi bora, niendelee na injili au nirudi kwenye utapeli?
Karibu sana mzeeBujibuji na wewe umeingia kwenye FANI ya Gwajinga na Mzee wa Bapa?
MunguatoshaMtui
Afadhali sio tapeli wa pesawewe ni tapeli wa injili
shetani anaogopa sana mapasta wa dizaini yanguDu!
We pasta balaa!
mapepo yanapigwa kata funua.Duh to injili imeingiliwa..
Nilisha acha sasa ni injili tuBujibuji huachi ulaghai na kutafuna wake za watu mkuu.
kule naenda kuokoa kondoo waliopoteaBujibuji pastor, halafu tunapishana kule kwenye jukwaa pendwa la kikubwa!! Mmmmhh dunia hii jamani!!
Duh..... hao watakuwa sio kondoo, ila mbwa mwitu waliovaa ngozi za kondoo watakuwa ndio wanarejea nyumbani kwaoKama wewe ni mchungaji, bora kondoo warudi mbugani wakawe wanyama pori.