Kwenye kukata kamba hapo...KUNA MSANII MMOJA MKUBWA/MAARUFU WA KIKE KATIKA TASNIA YA MUZIKI ..natabiri tutamkosa dunian
Nalisubiri hiliKunatukio kubwa na kisayans I mean sayans ya anga za majuu litatokea ambalo binadamu akuwai kufanya kabla
Unaongeleaje hizi vifo vinavoendeleaHakutakuwa na ugonjwa mpya kama mwaka wa corona
Hilo nalo nenoNatabiri haya mliyoandika yote hayatatokea mpaka mwisho was uhai wenu.
Tulieni msiwe na jazba...
So sad..Kiongozi mkubwa africa mashariki atakata moto.
Serikali ya Tanzania Itakubali chanjo na itakuwa lazima kwa kila.mwananchi kupata chanjo (Covid19)
Utabiri umetimia dahKiongozi mkubwa africa mashariki atakata moto.
Serikali ya Tanzania Itakubali chanjo na itakuwa lazima kwa kila.mwananchi kupata chanjo (Covid19)
Umetisha ngoja tusubiri chanjo sasaKiongozi mkubwa africa mashariki atakata moto.
Serikali ya Tanzania Itakubali chanjo na itakuwa lazima kwa kila.mwananchi kupata chanjo (Covid19)
Kweli aisee awa ndo wachawi wenyewe sema bado chanjo tu nalo litatimiaUtabiri umetimia dah
Imetimia sasaKiongozi mkubwa africa mashariki atakata moto.
Serikali ya Tanzania Itakubali chanjo na itakuwa lazima kwa kila.mwananchi kupata chanjo (Covid19)
Duh kuna watu ni nouma aiseeImetimia sasa