Njoo tutabiri mambo/matukio yatakayotukia mwaka huu 2021

Natabiri huu utakua ni mwaka wa mafanikio Sana kwa sekta ya utalii na kilimo, tutavuna chakula cha kutosha mpaka kusaza na pia Zanzibar haitakua na low season amen, Kwa uwezo wake yehova ameen.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom