Wezi wanaboa sana. Hawa watakuwa walikusoma mapema.NILIVYOPOTEZA SIMU NA LAPTOP.
Ilikua tarehe 5 mwezi wa 6 2017 narudi geto saa 6 hivii mitaa ya Fuoni Zanzibar nafungua mlango nakuta vitu viko hovyo hovyo. Vitabu,Nguo,Cds zilikua kwenye kabati. Vyote vimemwagwa hadi shuka imetanduliwa kitandani. Nikawa nafikiri nini kimetokea. Whaaaaaat nikakumbuka Laptop Toshiba yangu na Simu yangu ya Samsung Galaxy S4 GT-19500. Nilikua nikiondoka navifungia ndani ya begi la nguo. Siku hiyo na simu niliacha nikatembea na sim ndogo ya HTC.
Kufungya begi hakuna kituu. Laptop ndio nilikua nina mwaka 1 nimeinunua bado mupyaaa kabisa. Simu nilikua nina mwaka na miezi kadhaa ninayo. Ukweli nililia sana sanaa hata sikulala kabisaa.
Waliiba Pasi ya umeme na Hearter pia.
Kama waliuza kwa bei za kueleweka hawakukosa Millioni hivi.
Toka siku hiyo nilipachukia Zenji kabisaa
Hii mpya. Hapo ni kuhakiki kabla hujaliacha gari kama milango ipo locked na hakuna mtu uliyemfungia ndani.Nilibiwa Laptop Bulls Park!Tarehe 12/04/2018
Jamaa wanafanya timing Unaposhukia anakuwa upande wa pili ,kwakuwa nilikuwa alone haikuwa kazi kwake wkt nafungua mlango nae akawa anafungua wa Pili then napofunga wangu kumbe yeye anauacha wazi ukienda kaa ndio unapopigwa
Hii mpya. Hapo ni kuhakiki kabla hujaliacha gari kama milango ipo locked na hakuna mtu uliyemfungia ndani.
Habari za tunguu mkuuNILIVYOPOTEZA SIMU NA LAPTOP.
Ilikua tarehe 5 mwezi wa 6 2017 narudi geto saa 6 hivii mitaa ya Fuoni Zanzibar nafungua mlango nakuta vitu viko hovyo hovyo. Vitabu,Nguo,Cds zilikua kwenye kabati. Vyote vimemwagwa hadi shuka imetanduliwa kitandani. Nikawa nafikiri nini kimetokea. Whaaaaaat nikakumbuka Laptop Toshiba yangu na Simu yangu ya Samsung Galaxy S4 GT-19500. Nilikua nikiondoka navifungia ndani ya begi la nguo. Siku hiyo na simu niliacha nikatembea na sim ndogo ya HTC.
Kufungya begi hakuna kituu. Laptop ndio nilikua nina mwaka 1 nimeinunua bado mupyaaa kabisa. Simu nilikua nina mwaka na miezi kadhaa ninayo. Ukweli nililia sana sanaa hata sikulala kabisaa.
Waliiba Pasi ya umeme na Hearter pia.
Kama waliuza kwa bei za kueleweka hawakukosa Millioni hivi.
Toka siku hiyo nilipachukia Zenji kabisaa
Tunguu poa. Vp huko Bunguni?Habari za tunguu mkuu