Hao ni chambo wa kuvulia kambareHome kumejaa madimbwi...naanzisha ufugaji wa vyura
Hahahaha peregeNi perege......
Soko la hao vyura likoje??Njoo ujifunze kufuga vyura..tusije swekwa lupanga bure
Nimeacha kucheza pool
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikajua diliChambo ya kuvulia perege km alivyosema mkuu hapo juu
Sheria ni zile zile tu, haijarishi ni asubuhi au jioni! UsihofuHivi unachezaje asbh....!??
Michango ya dhamana itumwe kwangu[emoji85] [emoji85]Mkuu ukumbuke pia kumuwekea dhamana
Kweli wacheza pool asubuhi ni watu walochoka namaisha, kitaa kugumu na pale hawachezi pool bali kamari! Hivi kama hawachezi pool table unadhani wataenda Shamba? Tunacheza makida makida!Iyo wakizuia tutarudia kamal zetu za karata chafu tatu unacheza uku unabisbis mfukon
Tutapandikiza tu mipapai ukumbiniKweli wacheza pool asubuhi ni watu walochoka namaisha, kitaa kugumu na pale hawachezi pool bali kamari! Hivi kama hawachezi pool table unadhani wataenda Shamba? Tunacheza makida makida!
Umenichekesha eti mchezo wa kuinama inamaMwananchi ya Leo March 19 Page ya 5 Gaming board of Tanzania imetoa rasmi tangazo la kupiga marufuku mchezo huo wa kuinama inama nyakati za Asubuhi na Mchana. Inapaswa kuanza saa 10 alasiri mpaka 5 uck during week days, weekend kuanzia saa 8 Mchana mpaka 6 usku.