mkupuo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,021
- 2,655
Mwananchi ya Leo March 19 Page ya 5 Gaming board of Tanzania imetoa rasmi tangazo la kupiga marufuku mchezo huo wa kuinama inama nyakati za Asubuhi na Mchana. Inapaswa kuanza saa 10 alasiri mpaka 5 uck during week days, weekend kuanzia saa 8 Mchana mpaka 6 usku.
Hapo kwenye bluu mkuu sijapaelewa vizuri!