Sikio la muazini
JF-Expert Member
- Jun 17, 2026
- 249
- 469
Swahili,Kwa lugha gani?
The Icebreaker VAR inasemaje huko ? Sikio la mhazini vs mzigua?Swahili,
Sisi wamatumbi tuta chat wapi?Swahili,
Huyu ni yule G......rThe Icebreaker VAR inasemaje huko ? Sikio la mhazini vs mzigua?
Ila unajua?Mimi sijui ku chati
Ngoja turudie matukio ya video za nyuma , naona kama kuna beki alicheza fauli mbaya kabla ya goli kufungwa🤔Huyu ni yule G......r
Ila ana sound kama Chai ya rangi vile.Ngoja turudie matukio ya video za nyuma , naona kama kuna beki alicheza fauli mbaya kabla ya goli kufungwa🤔
Unajua tu EFOOTBALL sio 😅Mimi sijui ku chati
safe I don't know you? Psalm 103Sikio la muazini how are you!