Njoo nikuuzie mizani

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
2,326
1,314
Inapima kilo 10. Imegongwa na wakala wa vipimo. Ipo dsm. Imetumika miezi 4 tu. Ni mpyaaaaaaaaa kabisa. Haina tatizo lolote. Nime replace na moja kubwa digital.

Bei maelewano. Ila ukinipa 120 sio mbaya. Njoo inbox.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom