Rai Pazzy
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 493
- 187
Mkuu mbona Intel HD Graphics 620 ni IGPU na inarun vizuri games kama fifa 18 ambayo ina specification sawa na Fifa 19Acha uwongo ww! Pc ambayo haina dedicated graphics ina struggle ku run game za zamani kama pes 2012 ije kuwa fifa 19? ! Tafuta pc ww yenye dedicated gpu tena kama nvidia isiwe chini ya level 50 yani ( gtx 850, 950, 1050 & above) na amd iwe level ya juu zaidi kwa sababu zinakua weaker kidg uki compare na equivalent yake ya nvidia.hata uwe na processor ya core i9 huwez kurun fifa 19 bila gpu!
Sent using Jamii Forums mobile app