inategemea na binti mwenyewe kama ni over 25 nakubaliana na weweKwenye harusi hakosekanagi mtu amewahi kula bibi harusi na amekaa wanatizamana.. hii ina maanisha popote alipo mtaendelea kuichapa wote..
Endeleeni kupendana kama wajinga
Hata kama mke wangu nimemtoa Namibia 🇳🇦???
Mimi nita mtoa bomboclaatWe Namibia, Mimi Trinidad and Tobago😀😀
Hapana sijaolewaKwani wewe umeolewa mama ndege
Siwezi kufanya hivyo mkuuTunategemea kidumu chako utaenda nacho hadi ndoani hilo halina ubishi
Tangu lini halua ikawa na makombo? Hizi ni excuse za wasiojiaminiKwenye harusi hakosekanagi mtu amewahi kula bibi harusi na amekaa wanatizamana.. hii ina maanisha popote alipo mtaendelea kuichapa wote..
Endeleeni kupendana kama wajinga