Qute cherry
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 294
- 136
Habari za weekend wana MMU.
mwenzenu Leo yamenikuta makubwa.
Nina rafiki yangu wa kiume ni just a normal friend,basi tangu jana akawa ananisisitiza sana tuonane kwa ajili ya business issues, na akaomba niende kwake(Ghetto) ili tukajadiliane kuhusu business tunayotaka kuianzisha kama Partnership business.
Basi kwa vile niliona ni idea nzuri sana na tukifanikiwa tutatoka kimaisha, nikaona ni vyema niende tukajadili.
Basi Leo kufika pale Ghetto kukaa kidogo tu(hata soda aliyoninunulia sijamaliza kuinywa) heee!...jamaa akaanza kunishika kimahaba.
Business issues ikageuka kuwa Sex issues. Si akaanza oh unajua tangu siku nyingi nakupenda sana na nashukuru sana Leo umekuja kwangu... Nikamwambia wewe ni rafiki yangu wa siku nyingi na hatujawahi kukubaliana chochote kuhusu mapenzi, sasa inakuwa Leo unajiamulia mwenyewe?.
Jamaa akawa hanielewi anazidi tu kunishika kimahaba mara akanibeba juujuu nlipokuwa nimekaa kwenye sofa akawa ananipeleka chumbani kwake.Ghetto lake ukitoka sebuleni unakuja jikoni then ndo chumbani, Asante Mungu pale jikoni nlifanikiwa kushika mwiko wa ugali nikampiga nao akaniachia,nikamrudishia tena kwenye paji la uso(safari hii hadi mwiko ulivunjika) .nikafanikiwa kukimbia nje nikasepa zangu.
Sasa now kaniwhatsapp kwamba ameshonwa nyuzi nne usoni na amenichukulia RB ya kunikamata na anajidai kisa ana ndugu yake ana cheo kikubwa tu mahakamani so anasema atanikomesha Na kama la basi lazima nipate kichapo toka kwake.
Hivi jamani wanaMMU hapa nani anayestahili kumkamata mwenzake?.na akinikamata nikasema alikuwa ananibaka si nitakuwa sahihi?. Ushauri wako tafadhali,Nisolve vipi hii issue.ASaNTE.