Njiwa, Yoyo,FF, MS poteleeni huko huko

<br />
<br /
Well said
 
Nimechukungulia forums ya malaria sugu imekuwa ikiandama sana Chadema, wale user waliokuwa wakilalamika sana hapa jf naona wamepotelea huko.
Nawatakia masiha mema ktk forums yao.
wapotee huko huko hawana mchango wowote kwa taifa

Kama vile JF inavyoiandama sana CCM?
 
ms amejiunga na chadema kwa sasa yuko igunga kwenye kampeini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…