King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,985
hehehe, weeh Paw niachie. Anajua ana share yake na halalamiki kabisa. Sasa nisipokusaidia kuchop ze money utapeleka wapi? Si watakuita fisadi kwa account kufurika mahela? Erickb52 anakuonea wivu tu, mpotezee.
Last edited by a moderator: