Njiani kwenda Moshi.

Njiani kwenda Moshi.

Don Mangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,199
Reaction score
855
hellow CC,
Hope mko poa, nipo njiani kwenda Moshi, na wiki hii wana Jf wa Arusha nina kikao na nyinyi.
Have a nice Sunday every1 I love you all.
 
Safari njema Don Mangi na karibu sana Moshi karibu Arusha!
 
Last edited by a moderator:
Nimeshafika mjini kukusubiri boss wangu. Mbony shafooo clemeee!
 
We mwenyeji wake usiku mchana tunagonga ndovu tu vidume

Umeona eeh. . .halaf ndyofu ndo mpango mzima, si nimehama castle bhana? Yan asikwambie mtu raha ya ndyofu aijuae mnywaji.
 
Safari ya kwenda Moshi kutokea wapi??? Kilaenu, Mweka....??? au Dubai
 
Back
Top Bottom