Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Umenicha hoiMzee kwanini umesema ivii 😊☺️😁😆😂
Wewe ni Bonge la lizinzi
Khaa😁😁😁🤣🤣🤣
Umenicha hoiMzee kwanini umesema ivii 😊☺️😁😆😂
Vp kuhusu kujikinga na magonjwa mengine ya zinaa?View attachment 3563415
Kuna jamaa yangu mmoja yeye hutumia hizi LUBE kama mbadala wa kondomu.
Yeye hata mademu wa bar anatumia hicho kimiminika kuondoa friction WATU NOMA SANAAAAAA
Hizi Mamanzi hawazipendi kinoma hua wanachukia kishenzi ukiwasogezea Fiesta kisa harufu iliyowekwa ndani ileFIESTA
Mboni umeisahau KISS mbadala wa BULL ukimkosa BULL ukamkuta KISS tembea na KISS ni kuelea juu ya maji tu mpaka unafika ng'amboKUZIDI ROUGH RIDE, FIESTA, EROTICA, BARE BACK, KING SIZE, DUME, MOODS, FLAVOURS, DUREX, KAMASUTRA, POWER PLAY,WET N WILD, TATU BOMBA, ORGAZMAX, LIFE GUARD
Au ndo wewe jamaa yake unaetumia kwa mademu wa bar?Na zinauzwa 20,000/- kwa chupa 1 wala sio bei kubwa
Kondomu nzuriii ambayo Mimi nimemtumia zootee..rough riders wanazipenda sababu ya vile vipele vyake,, wanasema zinawakuna wadada wakati hata sio kweli
Nimepitiwa kaka😂😂😂Mboni umeisahau KISS mbadala wa BULL ukimkosa BULL ukamkuta KISS tembea na KISS ni kuelea juu ya maji tu mpaka unafika ng'ambo
Hahaha nimesema bei sio kubwa hio 20,000 nimeiona hapo moja na nyingine ipo hapo inauzwa 32,000, vizuri gharama sio ushaelewa usipende misaada tu toa helaAu ndo wewe jamaa yake unaetumia kwa mademu wa bar?
Kweli wewe ni noma sana shubaamiti na wewe.
Noma sanaaHizi Mamanzi hawazipendi kinoma hua wanachukia kishenzi ukiwasogezea Fiesta kisa harufu iliyowekwa ndani ile
Naelewa mkuu.Hahaha nimesema bei sio kubwa hio 20,000 nimeiona hapo moja na nyingine ipo hapo inauzwa 32,000, vizuri gharama sio ushaelewa usipende misaada tu toa hela
haumalizi nini sameja?😎😎Kondomu nzuriii ambayo Mimi nimemtumia zootee..
Tumezitumia Mimi na wife condom zootee UVUMBUZI WANGU BULL CONDOMS ZIPO VIZURI
BINAFSI MIMI CONDOMS ZILINISHINDA MAANA HUWA SIMALIZI KABISA MPAKA UNAIVUA
ILA KWA BULL ILINIFAA AANA SANAA BULL CONDOM NAI RECOMMEND KWA WADAU
Kama ana magonjwa ya ngono unaweza PATA hiyo inapunguza msuguano friction hivyoo inapita shwaa shwaaa shwaaVp kuhusu kujikinga na magonjwa mengine ya zinaa?
Zote zipo vizuri 😊 jaribu njoo utupe MREJESHO najua mambo yataenda buli buli☺️haumalizi nini sameja?😎😎
mi naipenda kiss,, ila nitajaribu bull sema sijajua bull ipi iliyo nzuri ile red au black?
Hiyo ndio yenyewe sasa na unakojoa chapView attachment 3563415
Kuna jamaa yangu mmoja yeye hutumia hizi LUBE kama mbadala wa kondomu.
Yeye hata mademu wa bar anatumia hicho kimiminika kuondoa friction WATU NOMA SANAAAAAA
Wanachukia sana ile harufu halafu wewe unaefanya ukarabati wa jengo wala hausikii km condom inatoa harufu wala nini ila ikitoka ile harufu ya kule ile ambayo hua haieleweki eleweki sijui ni harufu ya nini unaisikia, Mungu fundiNoma sanaa
lazima nilete mrejesho, uzuri umenipa taarifa siku nzuri kabisa maana weekend tayali🤗🤗Zote zipo vizuri 😊 jaribu njoo utupe MREJESHO najua mambo yataenda buli buli☺️
SEMEJA
Wewe utakua unatembeza lungu la comrade kipepeeHiyo ndio yenyewe sasa na unakojoa chap
Kwahiyo hata nafasi ya mwisho Zana haikai?? Unamaanisha Serikali inatupoteza?😄😄Mkuu wewe utakua unazivaa vibaya na kuweka shinikizo hewa binafsi nikiwa kama MDAU WA AFYA MWANDAMIZII SENIOR.
Cheap condom kwa bongo naonaga nzuriii ni BULL CONDOM ZIPO VIZURI izi hata ukichakatana nayo una feel kitu halisi kuzizidi kondomu nyingi.
KUZIDI ROUGH RIDE, FIESTA, EROTICA, BARE BACK, KING SIZE, DUME, MOODS, FLAVOURS, DUREX, KAMASUTRA, POWER PLAY,WET N WILD, TATU BOMBA, ORGAZMAX, LIFE GUARD kwa uchache..
We huna kwaresma kijana?lazima nilete mrejesho, uzuri umenipa taarifa siku nzuri kabisa maana weekend tayali🤗🤗