Njia za wanawake kumtongoza mwanaume

Nshakuwa sana bogus ila nowadays ukiniangalia tu hata kama huna lengo naomba namba.
 
Hahahahahah kumbe huku unatumia jina hili?? Mm ndio ID yangu nyingine hiyo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nakumbuka kuna mtoto mkali sana Beatrice sijui yupo wapi nakumbuka mtoto alikuwa ananionyesha mpk papuchi lakini dar nilikuwa mdogo kipindi kile sema dar ishabaki stori

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatama siku zirudi nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa ikiwezekana zirudi tu yule dada sijui yupo wapi nakumbuka nilikuwa form 2 kitambo sana alafu yule dada alikuwa ana umbo moja hatar sana watu walikuwa wanamfatilia sana lakini alinikubali mbishi sema na mimi nilikuwa sijielewi kabisa alikuwa ana tako limebinuka kama bodi ya kirikuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh kumbe kuongea kiswahili sehem nyingine ni fursa eee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kipindi nipo form four mtoto mmoja hivi shombe shombe wa kiarabu alinifata kama mara mbili hiv kunitongoza lakin kidume sijui ndo uoga au vp nilishindwa kuplay part yangu.till now mademu wengi wananielewa lkn dah nawapotezea tu nikisema nielezee hapa story zao ninyingi sana now days i see many of them so disappointed on me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…