Shammy-
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 7,177
- 18,841
Wewe ni nani?Mi si dada ndugu yangu
Wewe ni nani?Mi si dada ndugu yangu
Ukitaka kujua wanawake wanapatikana wapi tembelea MMUBro tena kwamba ni men huyo
Je suis l'hommeWewe ni nani?
Ok broJe suis l'homme
Dah aliwahi niambia lkn nikahisi labda kuna jamaa huko anamkunaNi kweli na ndio lengo la watu walioleta hizi dawa ûaweza ukahsi labda mke ana mchepuko lakini wapi hzi dawa hazifai mkuu ni hatari kwa afya
"Everything in excess is bad"...Sasa enzi za bibi ako unakuta bibi na chumba chake babu ana chake (uliza watu wazima) na wapo wote make hapo miti ya manati.
Wa sasa asubuhi mchana jioni imo....tutafananaje sasa
Demu wangu aliwahi kuchoma sindano ya miaka miwili aisee nilisota maana kwa mwezi naweza nikawa nyapu mara tatu au ukapita hola kabisa , hatukufika mbali tulibwaganaDah aliwahi niambia lkn nikahisi labda kuna jamaa huko anamkuna
Mwanamke asietaka kwichi anyongweSawa Ila msilalamike sasa na kusingizia hamtaki mjegeje
Kwahiyo ile kulia wakati wa ....huwa onakuwa ni janja ?.Mwanamke asietaka kwichi anyongwe
Ni utamuKwahiyo ile kulia wakati wa ....huwa onakuwa ni janja ?.
Ni utamu
Upwiru unaleta hasiraDemu wangu aliwahi kuchoma sindano ya miaka miwili aisee nilisota maana kwa mwezi naweza nikawa nyapu mara tatu au ukapita hola kabisa , hatukufika mbali tulibwagana
Inategemea kwakweli, kila mtu na sababu za kilio....kazi kwako mliliwaji kujua.Ahaaaa !!!! Nasikia akilia Sana ujue either ana bacteria wanamsubua au anataka kukuibia
Naunga mkono hoja🤣🤣
Mie sijawahi hata kuzitumia naogopa nyege zisije zikakata, ntaishije bila 🍆Zinaondoa kabisa kabisa.
Wanawake wangeweza kuacha hizi vitu wangejitendea haki sana.
Waache hizo wajikinge vipi sasa na mimba?Zinaondoa kabisa kabisa.
Wanawake wangeweza kuacha hizi vitu wangejitendea haki sana.