Njia za uzazi wa mpango

Njia za uzazi wa mpango

Njia za mpango wa uzazi nyingi zinapoteza hisia za kufanya tendo...

Wanaofahamu njia salama ili kuokoka ndoa waweke hapa ..

Hizi njia zinesababisha wanaume kuchepuka
Nadhani nyie waswahili na wanawake wa zama hizi mna akili ndogo Sana .

Huwa najiuliza Mimi bibi yangu Ana miaka 74 na Ana watoto 09 Ila watoto wake wote wamepishana miaka miwili miwili.

Na hao bibi zetu hawana Elimu kubwa sana Ila waliwezaje Ku -control uzazi wa mpango vizuri na nyie mshindwe.

Huwa nashangaa Sana na kumuona Mwanamke na Mme wake kama wajinga kushindwa kuwa na uzazi wa mpango mpaka wameze madawa na kuweka njiti plus sindano.
 
Leo nilitaka niende Tandika pale nikaopoe mmoja maana siyo kwa upwiru huu
 
Njia za mpango wa uzazi nyingi zinapoteza hisia za kufanya tendo...

Wanaofahamu njia salama ili kuokoka ndoa waweke hapa ..

Hizi njia zinesababisha wanaume kuchepuka
Njia ya kuhesabu kalenda is the best
 
Nadhani nyie waswahili na wanawake wa zama hizi mna akili ndogo Sana .

Huwa najiuliza Mimi bibi yangu Ana miaka 74 na Ana watoto 09 Ila watoto wake wote wamepishana miaka miwili miwili.

Na hao bibi zetu hawana Elimu kubwa sana Ila waliwezaje Ku -control uzazi wa mpango vizuri na nyie mshindwe.

Huwa nashangaa Sana na kumuona Mwanamke na Mme wake kama wajinga kushindwa kuwa na uzazi wa mpango mpaka wameze madawa na kuweka njiti plus sindano.
Sasa enzi za bibi ako unakuta bibi na chumba chake babu ana chake (uliza watu wazima) na wapo wote make hapo miti ya manati.

Sie wa sasa asubuhi mchana jioni imo....tutafananaje sasa
 
Nauliza eti hizi njia za uzazi wa mpango kuna baadhi ya wanawake zinawaathiri wasiwe na hamu ya kufanya mapenzi au anatumia sababu hiyo kuninyima mbususu
Ni kweli na ndio lengo la watu walioleta hizi dawa ûaweza ukahsi labda mke ana mchepuko lakini wapi hzi dawa hazifai mkuu ni hatari kwa afya
 
Sasa enzi za bibi ako unakuta bibi na chumba chake babu ana chake (uliza watu wazima) na wapo wote make hapo miti ya manati.

Wa sasa asubuhi mchana jioni imo....tutafananaje sasa
Sawa endeleeni kumeza P2 kuweka njiti na kupigwa sindano kwakuwa ndo zama zenu mnakuwa Kama Kuku wa broila .
 
Back
Top Bottom