1.kunywa maji mengi walau lita3
2.kaa mbali naaliye kuuzi walau mita 300
3.kula chakula unachokipenda
4.imba nyimbo za upendo
5.kunywa juice ya PILI na limao walau glass 3
Dingi alimuuliza mwanawe. "hiv we mtoto, ninapokupigaga hasira zako unazimalizia wapi? Dogo akajibu: CHOONI. Dingi akauliza tn. Sasa chooni unamalizia vipi hasira zako? Dogo akajibu: KWA HASIRA HUWA NASAFISHA TUNDU LA CHOO KWA KUTUMIA MSWAKI WAKO".
Ha ha ha mbavu zangu...
Dingi hakumpa kichapo
Hahahaaaa,,Akimpa kichapo,,dogo huyoo tena chooni kumaliza hasira zake!Dingi ilibidi awe mpole!