Habari za jumapili wadau.
Naombeni msaada wenu jinsi ya kuongeza uwingi wa sperm, Yaani siku hizi natumika sanaa kiasi cha kwamba ujazo wa bao umepungua mno nahisi hata gal wangu ashaanza nishtukia yaani uwingi na uzito umepungua mno. So kuna njia yeyote ile ya kuweza kuongeza hii kitu, mana raha ya mechi bao hasa ukifungia ndani ya kumi na nane.
Huwezi jua mkuu...labda anataka akaangie chips! !!Ni kwanini unataka ziwe nyingi.....!!!???
Si umeshasema unatumika sana,punguza kutumika sasa.
Habari za jumapili wadau.
Naombeni msaada wenu jinsi ya kuongeza uwingi wa sperm, Yaani siku hizi natumika sanaa kiasi cha kwamba ujazo wa bao umepungua mno nahisi hata gal wangu ashaanza nishtukia yaani uwingi na uzito umepungua mno. So kuna njia yeyote ile ya kuweza kuongeza hii kitu, mana raha ya mechi bao hasa ukifungia ndani ya kumi na nane.
Ndio maana watanzania hatuendelei, mawazo mgando yaliyotawaliwa na fikra za ngono, umiza kichwa kujua namna ya kutafuta pesa na kutatua matatizo ya msingi!