wengi wetu tunaamini huwezi kumsahau mtu ulieachana nae nae ila unaweza kabisa ni kujiendekeza tu,futa contact yake hata kama unaikumbuka kwa kichwa mak sure humtafuti kama alikuwa friend wako fb au popote muunfriend kama utaona hiiyo ni uamuzi mgumu basi hide activity zake anachokifanya yeye huoni,jiweke busy na kitu unachokifanya amini ulimpenda na situationa imewaforce mtengane so hamuwezi kuwa tena pamoja you gotta move on!!! hata kama ulimpenda vipi ipo siku utakuja kumsahau na kuishi happpy life kama wenzako,