Njia za kumsahau mpenzi tuliachana

Njia za kumsahau mpenzi tuliachana

dawa hapo ni kudandia mchuchu mwingne!
 
wengi wetu tunaamini huwezi kumsahau mtu ulieachana nae nae ila unaweza kabisa ni kujiendekeza tu,futa contact yake hata kama unaikumbuka kwa kichwa mak sure humtafuti kama alikuwa friend wako fb au popote muunfriend kama utaona hiiyo ni uamuzi mgumu basi hide activity zake anachokifanya yeye huoni,jiweke busy na kitu unachokifanya amini ulimpenda na situationa imewaforce mtengane so hamuwezi kuwa tena pamoja you gotta move on!!! hata kama ulimpenda vipi ipo siku utakuja kumsahau na kuishi happpy life kama wenzako,

Hakuna kitu wanakufanganya tu, dawa yake ukipata gepu mmeo alikuudhi anakuwa anaback up kimya kimya nani kasema unaeza msahau?


Hilo sahau ng'ooooooo
 
jitahidi kuondoa kila kitu ambacho chaweza kukuletea kumbukumbu yake kama kweli unania ya dhati ya kumsahau vitu vyote vya kwake viwe mbali nawe mfano picha zake zote choma moto, zawadi alizokupatia zote choma moto hata km nguo aliyokununulia km itakukumbusha yeye iweke kando nawe kwani kuwa karibu tu na mambo au vitu vyake hiyo roho haiwezi kuondoka kwako.
 
jikeep busy na shughuli nyingine utamsahau tu taratibu japo itakuchukua muda.
 
Hayo mnayoyasema et kuji-keep busy,kufuta contact,,,have ever put them into practice mkaona how difficult it is? if you were having a true love to the one there is no way you can do to forget him/her, what I can advice you is to be closer to the God koz this is the only one who can help you,naongea kwa machungu koz am in da same situation,,,pole sana mheshimiwa.
 
me naeza sema jiweke busy na mambo mengine ikitokea unajikuta unamuwaza sana vuta kumbukumbu ya mambo mabaya alokufanyia ingawa inauma ucjaribu kumblock au kumunfriend ktk social network mlizokua mnashare kwani kwa kufanya ivyo atajiona yeye ndio yeye kwamba pasipo yeye we huwezi!!!ucmpe ushindi kama huo try to move on kwan kuachana kwenu haimaanishi kua ndio mwisho wa maisha yako be strong ili uweze kumprove wrong halafu KUMBUKA sio kwa kua wewe unaumia au unashindwa kumsahau naye yu afanya vivyo hvyo!!mwenzio haumii tena ashakusahau apo alipo anaenjoy life kwa raha zake we utaishia kukonda kwa mawazo pengne ata upate maradhi yeye akaa hana story,,SAMAHANI LAKINI,,ukianguka uclale hapohapo nyanyuka jifute mavumbi endelea na maisha kwa kua maisha nayo yanaendelea hayakusubiri uomboleze na moyo wako!
 
kwanz kubal umeumizw na ona km bahat mby tu na yeyt inawez kumpat,na km hukufany kosa kwa huyo mpenz wako jione we ni bora nayey hafai na mshukur Mungu umemtambua mapema,.
 
Hayo mnayoyasema et kuji-keep busy,kufuta contact,,,have ever put them into practice mkaona how difficult it is? if you were having a true love to the one there is no way you can do to forget him/her, what I can advice you is to be closer to the God koz this is the only one who can help you,naongea kwa machungu koz am in da same situation,,,pole sana mheshimiwa.

Yaa,u a ryt! Only God can rescue,....aisee sikia kwa mtu hii kitu ni noma,usiombe ikukute
 
ishi with psychological expectation , mfano tegemea kila kitu kinaweza siku moja kubadilika na hata wewe kuja kufa, kufilisika , kukosa kazi, kuwa tajiri n.k. kwa hiyo kila kitu kiwekee reserve yake usiishi tu kwa kuwa unaishi , mfano kufa=mcha mungu kusali n.k. kufilisika =kujiwekea akiba malengo rasilimali za kudumu.
 
Back
Top Bottom