Njia za kumaliza adha ya mgawo wa umeme

Beethoven

JF-Expert Member
Jun 6, 2011
351
92
1.Tuingie barabarani kuonesha tumechoshwa mpaka kieleweke.
2.Tuendelee kukaa kimya na kulalama.
3.Tuendelee kusubiri wakati tunaendelea kupewa ahadi zisizoisha.......................................great thinker ongeza maoni yako
 
Teknolojia rahisi inayoweza kupatikana na Watanzania wote inapatikana. Tukiitumia, tutaachana na MGAO WA UMEME kwa kuwa tutamiliki miundombinu yetu ya kuzalisha umeme. Kuwa watu wanaojitegemea kwa suala la nishati si lazima tuingoje Serikali au TANESCO, kwani wao wameshindwa. Kwa anayetaka kujiunga kwenye Operesheni Fukuza TANESCO, awasiliane nami kupitia namba ya simu 0786-019019. UKISHANG'OA service line ya TANESCO, huna haja tena ya kuuliza, MGAO ni saa ngapi?

./Mwana wa Haki
 
Back
Top Bottom