Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,267
Nimelizungumzia kama swala haramu kulingana na vitabu vya dini vinavyotuasa halikadhalika katika afya.Haramu kwako halali kwa mwingine. Hili Jambo limefikia kuwa kawaida tu.
Mapenzi haramu tunaweza kusema ni mapenzi yanayofanyika kinyume na utaratibu wa kibinadamu pasipo kutumia viungo sahihi vya uzaziDefinition ya mapenzi haramu tafadhali
Hata huko kuna ukinzano, kimoja Noah kwao haram kingine Noah kwao halalivitabu vya dini
Pengine kila mmoja ana mtizamo wakehata huko kuna ukinzano, kimoja Noah kwao haram kingine Noah kwao halali
Ni vyema mwanaume kuoa kupitia misingi ya ndoa,Unaweza ukabalehe mwili ila kiakili haujabalehe bdo..kuoa pnd tu umebalehe ni kama kufanya betting...sidhn kama ni wkt sahihi wa kuoa
Dhamira kubwa ni kujikumbusha kushiriki tendo la ndoa kwa usahihi kuna faida kubwa, yapi yafanyike ili tuendelee kubaki kwenye mstari sahihiuzi wa ovyo
Nafikir hujanielewa...wanaume wanabaleh kweny umri kuanziq 15s..cdhan kwa ww muda huo uliweza kuoa kwan ndo kpnd wengi wetu tupo shulen..saaa cjajua unamaanisha balehe ipi ndugu yanguNi vyema mwanaume kuoa kupitia misingi ya ndoa,
Misingi ya ndoa itamwelekeza namna gani ya kuishi katika ndoa sahihi
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanaume aliyeoa na asiyeoa
Sawa, nilitanguliza misingi ya ndoa kwa maana kwamba wakati kijana anajifunza misingi hiyo basi ataweza kufahamu ni umri upi sahihi anapaswa kuchukua uamuzi wa kuoa,Nafikir hujanielewa...wanaume wanabaleh kweny umri kuanziq 15s..cdhan kwa ww muda huo uliweza kuoa kwan ndo kpnd wengi wetu tupo shulen..saaa cjajua unamaanisha balehe ipi ndugu yangu
Swali lako lina maana kubwa sana, katika swala la kuoa kuna misingi ya ndoa ambayo inatuelekeza umri gani sahihi wa kuoaUnaongelea vijana wa sayari ipi? Mtu anabalehe na miaka 13. Anamaliza form 4 ana miaka 18, form six miaka 21, chuo miaka 27. Huyo mtoto wa miaka 13 anaoa anaishi vipi?
Kubalehe ikiwa mhusika ana umri mdogo ni vyema kupatiwa semina juu ya madhara ya kushiriki mapenzi akiwa na umri mdogo, na kipindi cha kubalehe kwa vijana wa kike tunashauri wawe karibu na wazazi wa jinsia ya kike ili waweze kueleza changamoto zao kwani ndoa kwa watoto wa kike ni mzigo mkubwa unaoweza kuathiri akili na maisha yao kwa ujumlaWengne tumebalehe tupo drs la 5, kweli tunaweza kuolewa kwa kipind kile🤔🤔................tuombe tu neema ya Mungu maana hakuna nmna,kuna vtu haviepukiki.
Mapenzi haramu tunaweza kusema ni mapenzi yanayofanyika kinyume na utaratibu wa kibinadamu pasipo kutumia viungo sahihi vya uzazi