Njia za asili za uzazi wa mpango(Natural birth control methods)

mwe! ni bora muwaone wataalamu kwa ushauri wa kitaalamu zaidi, ila kwa upande wangu sikushauri maana hapo hatujui side effect ya hayo majivu, mtakuta mwishowe mnatoboa vizazi bure, na kwanini muwaze majivu na wakati kuna njia nyingi tu salama.

Hata hii ni salama sana. Ndio maana wazee wetu wameishi umri mrefu zaidi
 
Wakuu!nna mpnz wng ambae wte 2mepima na 2po salama,na ikitokea 2mefanya mapnz ktk cku zake za hatar hutumia majivu ndan ya masaa72 kuepusha kushka mimba,na ni mwaka sasa npo nae na haijawah tokea akashka..njiaa hii anadai alifundshwa na shangaz yke ambae nae hui2mia bdala ya vdonge vya uzaz wa mpango.. SWALI:kuna uthibtisho wwte wa ktabibu juu ya matumiz ya majiv ktk kuzuia mimba?je hakuna madhara yyte kiafya?kipimo huweka vjiko vi3 vy majivu ktk glas ya maj na kukoroga kisha hunywa glass3 kw wakat mmja...naombeni majibu ya ktaalamu
 
Mh hii ni mpya kwangu,ngoja waje wajuzi watufafanulie kuhusu huo utaalamu.
 
Wakuu!nna mpnz wng ambae wte 2mepima na 2po salama,na ikitokea 2mefanya mapnz ktk cku zake za hatar hutumia majivu ndan ya masaa72 kuepusha kushka mimba,na ni mwaka sasa npo nae na haijawah tokea akashka..njiaa hii anadai alifundshwa na shangaz yke ambae nae hui2mia bdala ya vdonge vya uzaz wa mpango.. SWALI:kuna uthibtisho wwte wa ktabibu juu ya matumiz ya majiv ktk kuzuia mimba?je hakuna madhara yyte kiafya?kipimo huweka vjiko vi3 vy majivu ktk glas ya maj na kukoroga kisha hunywa glass3 kw wakat mmja...naombeni majibu ya ktaalamu

Mimi nahitaji kuwafanya mbwa wangu wa kike wasizae milele, naombeni ufafanuzi plse
 
Mmm bora kama vp nizae tuu, majivu apana, kuna mimba nyengine visirani hazisikii dawa wala sindano, naikishaingia kutoka kazi utaruka Kamba panda ngazi 100 inakutizama tuu, hiyo mimba inaitwa utaniza Unataka usitake ....

aisee umenchekesha sn.Kweli mimba zingne km zime2mwa yan! haitoki ng'o yan unaweza ukafa ukilazimisha kuitoa du!
 
Majivu unayokunywa yanaingia katika mfumo wa chakula na sio wa uzazi, how comes majivu yazuie mimba??...

We nae wa wap? ukimeza kidonge cha kutibu labda ugonjwa wa kichwa au miguu c kinafikia 2mboni kwanza hlf baadae ndo kinasambaa kwenda kutibu eneo ucka?Na majv nay hvhv.
 
Mtoa mada acha watu wazae. Wasingezaa wewe ungekuwa po, au unataka tuwe kama ulaya viwili au kamoja?
 
Majivu lazima yatakuwa na carbon tu,na carbon inaleta KANSA.kwahiyo tutazuia mimba kisha tutaleta kansa.njia ya tarehe is the best ever!Ndani ya mwezi(siku 30) namuacha period siku 3,plus na zile 7 za yai kushuka=siku 10.kisha siku 20 najivinjari usiku na mchana,Mungu anipe nini?
 
apo umemaliza mchezo
 
Attachments

  • 1437298310302.jpg
    1437298310302.jpg
    16 KB · Views: 992
Back
Top Bottom