Njia za asili za uzazi wa mpango(Natural birth control methods)

HIVI KWA NINI MLIKIMBIA BIOLOGY????

MASWALA YA KUANGAIKA MAJIVU AMBAYO PRACTICALLY YANAENDA KUREACT NA KIZAZI MAANA NDO ENEO LA TUKIO(according to mleta mada) USIJARIBU JARIBU MADUDE KWENYE KIZAZI EBOOO
tumia KALENDA UELEWE MWILI WAKO KWANZA THEN USE KALENDA LAKINI ujaolewa bado unaanza kuangaika nani kakwambia natural way ni majivu??? natural way ni kalenda tu

HUJAOLEWA DONT DO IT OR USE CONDOM

UKIOLEWA USE KALENDA

Wengine breed zetu haziko stable sasa ukitushauri kutumia kalenda tutazaa kila mwaka
 
Habari wakuu wote jamvini....

Nimepata kusikia kuwa binti akinywa juice ya majivu ndani ya saa 2 toka mbegu za kiume ziingie ktk papuchi ake basi anakuwa salama kbs kuepuka mimba bila kujali siku ya salama au hatari.
Mchanganyo uko hivi,

1. Weka majivu nusu glass

2. Jaza sehemu ya glass iliyobaki kwa maji safi

3. Koraga na ili upate mchanganyiko mzuri

4. Acha maji yajitenge na majivu

5. Kunywa maji ya juu

Zingatia: waweza andaa juice hiyo kabla ya kuanza tendo kwa usalama. Juice haina madhara. Japo yaweza sababisha tumbo kuuma kwa muda mfupi.

Juice ina ukakasi/uchachu.

Wewe wajua kinga ipi ya asili?

Tupeane mawazo wadau wangu. Wote mnakaribishwa

==============



=========
April 18, 2015:

Kinga ya asili ni kuacha uasherati
 
Majivu lazima yatakuwa na carbon tu,na carbon inaleta KANSA.kwahiyo tutazuia mimba kisha tutaleta kansa.njia ya tarehe is the best ever!Ndani ya mwezi(siku 30) namuacha period siku 3,plus na zile 7 za yai kushuka=siku 10.kisha siku 20 najivinjari usiku na mchana,Mungu anipe nini?

upo sahihi mkuu. Hapo kwenye red naunga mkono hoja, na hiyo ndo habari ya mjini. Hii aione mshirika wangu wa nguvu TATIANA
 
Last edited by a moderator:
Habari wana jamvi.
Leo nataka tuangalie pia madhara ya kutumia majivu katika kuzuia mimba.
Wanawake wengi sana wamekuwa wakitumia hii mbinu.
Hebu soma Makala hii kwanza hapa:

MADHARA YAKE:
Kwa mujibu wa daktari bingwa wa magonjwa ya uzazi kutoka hospitali ya Rufaa Mbeya, anasema" Majivu yanapowekwa katika maji na kutumika mwilini yana madhara sana kwani majivu huchuja aina ya magadi ambayo yana kemikali zinazo sababisha tezi maalumu zinazo chochea uzalishashi wa mayai ya kike na mbegu za kiume kufifia na kushindwa kuchochea kimiminika maalumu kwenye uke wa mwanamke ambacho n muhimu katika kulainisha uke na hatimaye kufurahia tendo la ndoa.
Ndio sababu majivu huzuia mimba kwasababu hukausha uke na kufanya mbegu za kiume kushindwa kusafiri ukeni na kuweza kutunga mimba.
Aliongeza kuwa, " Bandu bandu humaliza gogo,. Hivyo kadri mtu anavozidi kutumia majivu, ndivo anavoua tezi za mwili na kufanya baada ya mda zishindwe kabisa kufanya kazi na hatimaye ugumba."
Hatari nyingine ya matumizi ya majivu ni pamoja na maumivu makali wakati wa tendo la ndoa na kuchelewa sana kufika kileleni kwa mwanamke.
Kwa mujibu wa daktari huyo, kosa la kutoa mimba ni la jinai na pia mbinu hiyo ya kutumia majivu haijathibitishwa pia japo inaonekana kutumiwa na wengi hasa jijini Mbeya.
 
Majivu lazima yatakuwa na carbon tu,na carbon inaleta KANSA.kwahiyo tutazuia mimba kisha tutaleta kansa.njia ya tarehe is the best ever!Ndani ya mwezi(siku 30) namuacha period siku 3,plus na zile 7 za yai kushuka=siku 10.kisha siku 20 najivinjari usiku na mchana,Mungu anipe nini?

Kiongoz apa cjakuelewa …! Kwamba siku 20 zote anakuwa salama?
 
Kiongoz apa cjakuelewa …! Kwamba siku 20 zote anakuwa salama?

Siku ya kwanza ni ile aliyoanza period.chukulia kuwa anaenda period kwa siku 3.
{1,2,3}anakuwa kwenye hedhi.
{4,5,6,7,8,9,10}unaweza kufanya tendo.ila siku ya 10 sio salama sana.
{11,12,13,14,15,16,17}siku za hatari.
{18,19,20,21,22,23,24,25,26,27,28}unaweza kufanya tendo
NB:Hesabu hizo siku salama zinakaribia 20.
 
Wakuu!nna mpnz wng ambae wte 2mepima na 2po salama,na ikitokea 2mefanya mapnz ktk cku zake za hatar hutumia majivu ndan ya masaa72 kuepusha kushka mimba,na ni mwaka sasa npo nae na haijawah tokea akashka..njiaa hii anadai alifundshwa na shangaz yke ambae nae hui2mia bdala ya vdonge vya uzaz wa mpango.. SWALI:kuna uthibtisho wwte wa ktabibu juu ya matumiz ya majiv ktk kuzuia mimba?je hakuna madhara yyte kiafya?kipimo huweka vjiko vi3 vy majivu ktk glas ya maj na kukoroga kisha hunywa glass3 kw wakat mmja...naombeni majibu ya ktaalamu

Mmh...masaa 72? Mimi demu Wangu alichelewa kwa masaa 12 tuu kitu kikanasa....manake tulilabuana Usiku kucha afu kesho yake ana safari ....ikabidi akanywe majivu jioni baada ya kufika mkoani....

Baada ya siku 6 mtoto akawa anakula udongo tuu...

Cheza na calendar tuu...hizi zingine magumashi mno
 
Siku ya kwanza ni ile aliyoanza period.chukulia kuwa anaenda period kwa siku 3.
{1,2,3}anakuwa kwenye hedhi.
{4,5,6,7,8,9,10}unaweza kufanya tendo.ila siku ya 10 sio salama sana.
{11,12,13,14,15,16,17}siku za hatari.
{18,19,20,21,22,23,24,25,26,27,28}unaweza kufanya tendo
NB:Hesabu hizo siku salama zinakaribia 20.

Mkuu hebu chambua kwa mtu Mwenye mzunguko wa siku 33 afu bleed ni siku 4....
 
jaman nimewahi kusikia kuwa dawa ya flagly inazuia mimba kutunga unakunywa kabla au just after tendo la ngono,je hii ni kweli?
 















Neem & Birth Control


NEEM OIL - DIRECT USE

Several studies showed that neem oil appears to be a safe and very effective contraceptive, pre and post coital (before and after sex). <See a compilation of researches here> (until 2005).

The way it was applied in the studies it almost was 100% effective in preventing pregnancies. During in vitro experiments, neem oil also totally immobilized sperm cells within 20 to 30 seconds of being in contact with neem oil.

It is nothing new... "In the first century B.C., Charaka, the Indian physician, gave a detailed method for using neem for contraception. Cotton soaked in neem oil was kept in the vagina for fifteen minutes before intercourse. This killed the sperm."
(neemfoundation.org)

Newer studies showed that neem oil contraceptive indeed kills sperm in the vagina within 30 seconds and remains active for five hours. It causes no irritation or discomfort like the chemical based spermicidal foams do. (Apart from the awful smell.)

In addition neem oil acts as a lubricant, and it may also offer some protection from vaginal and sexually transmitted diseases. Neem is well known to be a powerful antimicrobial herb. Neem oil, when applied vaginally, has been shown to be very effective against several sexually transmitted diseases (STD’s). There has been strong evidence found in a number of studies that leads us to believe that neem can be successfully used against gonorrhea, syphilis, Chlamydia, herpes simplex-2 and possibly even HIV-1. Research is underway, and more research is needed to see how neem can be of value in fighting these and other STD’s.


NEEM OIL - USE AS A LUBRICANT

To prevent pregnancy, use a water based vaginal lubricant with ten-percent neem oil added. Apply before intercourse to give the surface of the vaginal wall time to become coated with the material. If there was no neem lubricant available during intercourse applying the lubricant soon sifter inter-course will prevent implantation.


NEEM - CONTRACEPTIVE FOR MEN

Neem leaf tablets ingested for one month produced reversible male antifertility without affecting sperm production or libido (Deshpande, 1980) (Sadre, 1984). In India and the United States, exploratory trials show neem extracts reduced fertility in male monkeys without inhibiting libido or sperm production (Sharma, et al, 1987).

In a test of neem's birth control effects with members of the Indian Army, daily oral doses of several drops of neem seed oil in gelatin capsules were given to twenty married soldiers. The effect took six weeks to become 100 percent effective, it remained effective during the entire year of the trial and was reversed six weeks after the subjects stopped taking the capsules. During this time the men experienced no adverse side effects and retained their normal capabilities and desires. (Vietmeyer, 1992) There were no pregnancies of any of the wives during the period of the study.

For long term birth control for men it appears that a very minute amount of neem oil injected in the vas deferens provides up to eight months of birth control. The tests revealed no obstructions, no change in testosterone production and no anti-sperm antibodies. The local lymph nodes showed increased ability to respond to infections indicating an immune response may be responsible for the birth control effect in men as it is in women. (Upadhyay, 1993).

However, you must take into account about the evidence that some women became pregnant when their husbands were taking neem leaves (capsules or tea). Then, it also shows that this contraceptive male method is not 100% effective. And the best option would be combining it with the use of neem oil as a spermicide.


Precautions: Taking Neem oil internally is not recommended, specially for children. Neem oil can be made safe for consumption, but the normal raw or refined product that you buy for use around the garden, or even for external applications on the skin, is not intended for internal use. Some studies showed that it is totally safe, even in higher doses, but others showed that extended internal use can have side effects.

Important: Since everyone's body is different and reactions to products can vary from extremely positive to extremely negative, use of any product or even food should be curtailed immediately if any side effects or changes in bodily function appear. This holds true for neem and any other herb or new food. Test your own tolerance or sensitivity to neem in small incremental steps, first on the skin, then in minute quantities orally. Again, if any sings appear of intolerance for neem, stop its use immediately.- John Conrick.






ONLINE STORE




NEEM OIL

Instructions for Use

• Medicine - Cosmetics

• Agriculture



More information:

Neem & acne

Neem - contraceptive

Neem & cholesterol

Neem & diabetes

Neem & herpes

Neem & hypertension

Neem & malaria

Neem & pets

Neem & psoriasis
© Productos de Neem. Spain - 2008
 
Kando ya kalenda,pull out na condom njia ipi nzuri ya kupanga uzazi isiyo na madhara
Mana madawa sijui Yana vtu gani,vitanzi sijui vinanenepesha
Mnapangaje uzazi bila kupata any side effects
 
jamani njia za asili ziko mbili tu, kalenda na kuchomoa ili mbegu zisiingie! maana ya njia asili kibiologia ni ile njia ambayo hutumii kitu chochote mwilini kuzuia mimba, wakati artificial method ndio inakulazimu kutumia vitu vingine ili kuzuia mimba, kwa mantiki hiyo hizo mnazozitaja hapa kama MAJIVU na mbegu za MNYONYO ni artificial method labda tuziite NJIA ZA JADI, njia pekee isiyokua na madhara ni njia ya asili, yaani kalenda na withdrawal method/kumwagia nje. naomba tusizite hizi njia za kijadi kama njia mpya kwani hata zenyewe zina madhara pia
 
jamani njia za asili ziko mbili tu, kalenda na kuchomoa ili mbegu zisiingie! maana ya njia asili kibiologia ni ile njia ambayo hutumii kitu chochote mwilini kuzuia mimba, wakati artificial method ndio inakulazimu kutumia vitu vingine ili kuzuia mimba, kwa mantiki hiyo hizo mnazozitaja hapa kama MAJIVU na mbegu za MNYONYO ni artificial method labda tuziite NJIA ZA JADI, njia pekee isiyokua na madhara ni njia ya asili, yaani kalenda na withdrawal method/kumwagia nje. naomba tusiziite hizi njia za kijadi kama njia mpya kwani hata zenyewe zina madhara pia
 
Njia nyingine ne kutumia mafuta ya mbegu za mwarobaini, unapaka ukeni nusu saa kabala ya shughuli. Nilitoa maelezo hapo tuu
 
Back
Top Bottom