Njia yangu ya mkojo inawasha sana

Njia yangu ya mkojo inawasha sana

Nenda kamwone Daktari.Ukiwa na majibu ya maswali yafuatayo:
Mara ya mwisho umesex ni lini?Je ulitumia Kinga?Je ulinunua huduma au ni mtu wako wa kawaida?Baada ya hapo utachakuliwa sampuli kwa ajili ya kipimo ila Dr.Akiwa Baharia anaweza kukuandikia Vidonge vya Azuma,Sindano na Masharti ya kuepuka Ngono Zember na kurudi kwa ajili ya kupima Ngoma Baada ya Muda fulani.Pia uashauriwa umlete mwenzi wako iwapo huyo ni Mpenzi wako wa muda.


Ila usijali...Tiba IPO wahi hospitali.
 
Wanaita gono la Tabata barracuda.
Mkuu, Baracuda yalikukuta yepi? Nilishawahi opoa hapo kiwanja. Mitambo nilishaiseti na site nikailipia kabisa, baada ya muda mtoto akafika site... On a second thought kuyafikiria mazingira ya pale nilipomtoa, nikala kona...
Basi from there, yule dogo akiniangalia na mashost zake, full kuniteta huku wanacheka kimbea.
Ila all in all, kunguru muoga hukwepesha bawa lake.
 
Back
Top Bottom