Njia yangu ya mkojo inawasha sana

Katkit

JF-Expert Member
Mar 12, 2023
1,891
4,588
Njia yangu ya mkojo inawasha sana mpaka kuna muda natamani niikune hivi, pia kuna muda niliona kama kuna uchafu kidogo kama usaha kwenye boxer baada ya kuamka.

Pia nikiwa nakojoa naona mkojo kama unaunguza hivi. Naomba wataalamu mnisaidie kutatua hii shida.
 
Hahahahaha nacheka lakini naogopa sana aisee, kama unajua dawa naomba unambie nitumie

Hakuna atakaekwambia dawa maalum
Nenda hospital ukapimwe ndio utumie dawa mkuu
Ukichelewa kidogo inakatika nusu shauri yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom