Njia yangu ya mkojo inawasha sana

Njia yangu ya mkojo inawasha sana

Njia yangu ya mkojo inawasha sana mpaka kuna muda natamani niikune hv, pia kuna muda niliona kama kuna uchafu kidogo kama usaha kwenye boxer baada ya kuamka. Pia nikiwa nakojoa naona mkojo kama unaunguza hv. Naomba wataalamu mnisaidie kutatua hii shida.
Chemsha tangawizi ikichemka epua weka binzari changanya pamoja weka kwenye glass koroga kunywa ikiwa na Moto
1×2 MDA wa siku 7
 
Njia yangu ya mkojo inawasha sana mpaka kuna muda natamani niikune hv, pia kuna muda niliona kama kuna uchafu kidogo kama usaha kwenye boxer baada ya kuamka. Pia nikiwa nakojoa naona mkojo kama unaunguza hv. Naomba wataalamu mnisaidie kutatua hii shida.
Pole sana, aisee oi Carlos The Jackal , mpe ushauri huyu mdau inaonekana kashayakanyaga huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana, aisee oi Carlos The Jackal , mpe ushauri huyu mdau inaonekana kashayakanyaga huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie ana Gonorrhea !!.

Anunue hizi dawa na atumie kama navyoandika.

Tab. Cefixime 400mg Stat.
Tab . Azithromycin 1gm stat.

Vyote Kwa pamoja avimeze Mara Moja paaa!! .

Hizo Boksa na surual alizovaa na mashuka, ayafuee, apige PASI.

Asivae Boksa bila kuinyoosha, narudia, asivae Boksa bila kuinyoosha kama kama kaifua..

Amtafute huyo Manzi wake alomupa Gono, nayeye tumtibu, maana Wanawake wanaweza akukaa na Gono hata miezi mitatu bila dalili kuhisi, ila yeye atakua anaambukiza.

Lkn pia akipona ajifunze kutumia Kondom.

Ikiwezekana basi awe mwaminifu.

Niishie hapa .
 
Kama umejihis hvyo kwa muda mrefu basi hyo ni U.T.I sugu imekomaa hvyo inahitaji dozi inayoitwa sambula maduku unatibu kama unatibu magonjwa ya zinaa ina dawa tatu tofauti

Kama hzo dalili zimeanza hv karibuni basi hilo ni gono wahi hospital au kwa veterinary uchomwe sindano ya dawa ya homa ya ng'ombe OTC
 
Back
Top Bottom