Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,655
- 729,737
Nirvana ni neno la kibudha lenye maana moja na wokovu kwa wakristo japo kuna tofauti kidogo
Wokovu wa kikristo ni kuamini na kumkiri Kristo kama bwana na mokozi wa maisha yako, wakati kwa nirvana (blissful state) ni mchakato wenye vipengele kadha
Kipengele cha Kwanza ni SILA (mortality)
-usiue
-Usiibe
-usizini
-usiseme uongo
-usitumie viambata vyenye sumu
Kipengele cha pili ni SAMATHI (control of mind)
-uwe mtu wa tafakuri kwenye kila jambo kwa mawazo matendo na maneno
-uwe mtu wa tahajudi muda wote
Kipengele cha tatu ni PANNA(purification of mind)
Hapa ni kipengele cha mwisho kuelekea nirvana
Unakuwa na hekima kuu, ukimya na maamuzi sahihi yasiyoweza kutiliwa shaka na yeyote
Hapa unakuwa umejitambua wewe ni nani na nini lengo lako katika maisha haya
Unakuwa Unajua kwa hakikanini kinakuongoza kusonga mbele na nini kinakuzuia na mwishowe kuchagua njia sahihi inayokuongoza kwenye uhuru kamili hekima furaha na tafakuri jadidi