Njia ya muongo ni fupi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Njia ya muongo ni fupi.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by jchofachogenda, Mar 23, 2012.

 1. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wanafunzi watano wa chuo kikuu kimoja hapa nchini walikuwa wanatakiwa wafanye mtihani siku inayofuata. Wale wanafunzi walikunywa pombe mpaka saa kumi za usiku,asubuhi ya siku ya mtihani kila mmoja alikuwa na uchovu wa Hangeover hivyo walishindwa kufanya mtihani.Wakatunga uongo wa kwenda kumuongea Lecture wa somo husika. Wakaenda kumuongopea Lecture kuwa wameshindwa kufanya mtihani kwa sababu jana walikuwa kwenye harusi na wakati wanarudi gari yao ikapata pancha na wakavamiwa na vibaka na kuibiwa pamoja na kupigwa. Yule Lecture alikubali na akawapa siku tatu za kujiweka sawa na kujiandaa na special exam.Siku ya mtihani wa Special yule Lecture aliwapa mtihani na aliwasimamia mwenyewe. Mwongozo wa mtihani ulikuwa kama ifuatavyo, 1.Mtihani huu ni kwa wanafunzi watano 2.Majibu yao lazima yawe sawa na yakiwa tofauti wote wanapata ziro na wanafeli 3.Mtihani huu una maswali matano na yote lazima yajibiwe. Maswali ya mtihani yalikuwa hivi. 1.Harusi ilifanyika katika ukumbi gani? 2.Gari mliomtumia mpaka mkapata pancha inaitwaje? 3.Ajali imetokea eneo gani? 4.Nani alikuwa dereva? 5.Tairi ipi ilipata pancha,ya mbele au ya nyuma? NAWATAKIA MTIHANI MWEMA.
   
 2. S

  Shekispia JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mmh!hapo lazima walambe zero hao vyapombe.
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaa kweli ticha ni noma....dah
  hapo lazma awakamate mazima....
   
 4. P

  Paull New Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hellooo my pepleeeee thr.......
   
 5. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  noma sana mbona watajiona wajinga
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Huyo ticha nux.
   
 7. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #7
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Masomo ya siyo Na mitaala mwalimu anajiokotea vimaswali ajuako.. Labda wawe wanaongopa kwenye 'mase'''...
   
 8. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Du! Nimecheka hadi hakuna jamani dah! Hapo lazima walambe sap!
   
 9. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,128
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  ha ha ha ha hao watadisco tu
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Mar 24, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hapo ni kutunga excuse nyingine ili mtihani usogezwe siku za mbele.
   
 11. G

  Godyp Senior Member

  #11
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hahahahaahhaaaaahahah!!!!!!!!!!!!!uuuuuuuwi! Mbavu zangu!! Mamamama!
   
 12. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #12
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  asa si wakusanye tuu, au wote wajibu sijui mwanzo mwisho, watapata ujue!
   
 13. Uncle Kaso

  Uncle Kaso JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Imetulia ile mbaya
   
Loading...