njia ya mawasiliano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

njia ya mawasiliano

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Lady N, Mar 9, 2010.

 1. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Wanandoa walikorofisha ikawa hakuna kuongea ndani ya nyumba, kila mmoja akihitajia chochote kutoka kwa mwenzie inabidi amwandikei karatasi aweke mezani, kwa upande wa sex waliacha kabisa.

  Siku moja mwanaume akapata safari ya nje ya nchi na anatakiwa aondoke saa 12 asubuhi kuwahi airport, as usual akaandika msg akaweka mezani kumtaarifu mkewe ili amuashe saa 11 alfajiri ajiandae asichelewe.

  Mwanamke alipoona ile msg naye akajibu kwa kuandika chini yake "sawa mume wangu". saa 11 alfajiri mke akaamka akaamdika msg, "mume wangu amka muda umefika" akaiweka mezani akarudi kitandani kukendelea kulala.

  Mume alipokurupuka usingizini saa 1 asubuhi akaanza kumfokea mkewe kwanini hakumuamsha amechelewa ndenge, mkewe akamwambia alimuasha kwa jinsi wanavyowasiliana, kutokana na mawasiliano yao kuwa mabovu, mume alikosa ile safari

  From that day wakaanza kuongea vizuri
   
Loading...