Njia ya maisha yangu ilipofungwa ghafla

Njia ya maisha yangu ilipofungwa ghafla

Pole sana kiongozi. Umenikumbusha mbali sana. Mimi nikiwa na miezi sita niliacha rasmi kunyonya na hii ni baada ya mama yangu kunichukua na kuniweka pembeni ya barabara kwenye majani marefu akaondoka kurudi kwa wazazi wake maana alichoshwa na vipigo vya baba yangu. Bibi mmoja jiran yetu ndie wakati anakuja kufunga mbuzi wake ndiye aliniona na kuniokota na kunirudisha nyumbani. Hapo mama yangu ameondoka na alikuwa na mimba nyingine. Na haya yote nilielezwa na bibi yangu nilivyomaliza darasa la sana ambae ndiye alinichukua na kunilea. Ni story ndefu lkn basi tu. R.I.P Mama
Pole sana
 
Pole ndugu yangu...

Hayo ndiyo maisha.
 
Natamani niujue mwisho wa mapito haya halikadhalika natamani mwishowe umalize kwa kusema hadithi inatufunza........
 
Napenda kumshukuru MUUMBA WA MBINGU NA NCHI. Kwa kunipatia wazazi wema toka kuzaliwa kwangu miaka 45 sasa ninayo pamoja na wazazi wangu kutangulia mbele za haki. Sikuwahi kuona ugomvi wao hata siku moja pia sikuwahi hata kumsikia jirani akisimulia baya lolote kuhusiana na wazazi wangu. Nasema Aamen. Mwenyezi MUNGU Awalaze pema peponi wazazi wangu. Mleta mada pole kwa yote. Haya siyo mapito huwezi kusema ni mapito. Haya mambo yapo hata leo yana fanyika. Kikubwa ni ku kemea na kumuomba MUNGU .Atende miujiza kwa wale wote wanao pitia haya mapito. Nasema tena Amen
 
Amen Mtumish Wa Mungu
 
Hii story imenitoa machozi,nashindwa niseme nini.
Lakini natamani sana kuujua mwisho wake.
Nikisoma visa kama hivi ndio huwa nakubali kuna watu wamepitia magumu sana...
Dah!
Mamaa Amin ya Kuwa Maisha Yako Sio Maisha Ya Wengine

Dunian Kuna Mambo Mengi Sana Atheee

Bt Mshukuru Mungu Kwa Kuish maisha Ambayo Ayana Changamoto Nyingi
 
Back
Top Bottom