Kwa nini raha yenyewe ni fupi sana?
Kwa sababu orgasm ni kama kilele cha mlundikano wa msisimko.
Fikiria hivi,
Msisimko unaongezeka ,unafika kileleni, orgasm alafu unashuka haraka mfumo wa neva hauwezi kudumisha hali hiyo ya juu kwa muda mrefu. Baada ya orgasm, mwanaume mara nyingi huingia kwenye kipindi kinachoitwa refractory period, ambapo mwili kwa muda hupunguza uwezo wa kufikia orgasm nyingine.
Sasa kwa hali hiyo mtu aache kweli pigeni wanangu.