Njia wazitumia wanawake kutupiga mizinga.

Njia wazitumia wanawake kutupiga mizinga.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,851
Wanawake katika harakati zao za kuchuna na kuhongwa wanatumia njia nyingi japo wapo wengine ambao huomba hela moja kwa moja ila wengine hutumia lugha ya picha mfano
1.Nimemuona rafiki yangu amevaa nguo nzuri imempendeza hapo anataka umpe hela na yeye akanunue.
2.Baby nimeibiwa/nimepoteza pesa hata sijui mwezi huu nitaishije.
3.Nikopeshe kama laki 3 nitakurudishia mwisho wa mwezi hapo ujue umeliwa kama utatoa.
4.Nimekopa nguo/viatu/pesa nimeshindwa kulipa hapo anataka umpe akalipe.
5.Kodi ya chumba inaisha mwezi ujao mimi mwenyewe sina pesa sijui nitatoa wapi nilipe, hapo anataka utoe hela ulipie chumba/nyumba.
Je wewe mwanaume ni njia anatumia kukupiga mizinga na wanawake mnatumie njia/mbinu zipi kutupiga mizinga.

cc lara1
 
Last edited by a moderator:
^^
Wanaomba vilipo... Jifanye huna ujue tabia yake
^^
 
wanaume wa nguvu hawaogopi mizinga. wanachukulia kama sehemu ya majukum yao
 
Mnakariri mno!!
Mwenzio atakwama kweli aombe msaada wako wewe unajua ni mbinu ya kukuchuna!!
 
Mwanamme anayeogopa majukumu havutii kabisa, bora hata anayehonga mia tano.
 
Wanawake katika harakati zao za kuchuna na kuhongwa wanatumia njia nyingi japo wapo wengine ambao huomba hela moja kwa moja ila wengine hutumia lugha ya picha mfano
1.Nimemuona rafiki yangu amevaa nguo nzuri imempendeza hapo anataka umpe hela na yeye akanunue.
2.Baby nimeibiwa/nimepoteza pesa hata sijui mwezi huu nitaishije.
3.Nikopeshe kama laki 3 nitakurudishia mwisho wa mwezi hapo ujue umeliwa kama utatoa.
4.Nimekopa nguo/viatu/pesa nimeshindwa kulipa hapo anataka umpe akalipe.
5.Kodi ya chumba inaisha mwezi ujao mimi mwenyewe sina pesa sijui nitatoa wapi nilipe, hapo anataka utoe hela ulipie chumba/nyumba.
Je wewe mwanaume ni njia anatumia kukupiga mizinga na wanawake mnatumie njia/mbinu zipi kutupiga mizinga.

cc lara1

6. Nauguliwa/nimefiwa
 
Ndio mana mm nachukuwa mabint wenye salio

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Sasa wewe unataka nani akutunzie demu wako? Kizuri aghali ndugu yng! Kwanza usisubiri uombwe ndio utimize majukumu yako. Mwanaume wa kweli anawajibika hasubiri miZinga 😎
 
Ndio hapa napoona umuhimu wa kudate mtu mlotoka kwenye tamaduni sawa.
Sasa mtu anafiwa au kuuguliwa, unakuta mpenzi hajiongezi kumpa walau ki hela cha pole.

Kwa kweli ndio naelewa maana ya 'kua uyaone'

wanaume wa dotcm hao ni majanga. acha wazee wawasaidie. usipomjali mpnz wako wakat wa matatzo utamjali wakat gani sasa!!
 
kwan kaz yenu nini yani unipapase wewe nywele asuke jumanne? unataka nan ampendezeshe mwanamke wako!so unifanye chombo cha starehe,nonense,natafta mzee we utaniona napendeza tuu!na ukileta hzo ule kona
 
mizinga mingine ina nyuki unamtumia vocha buku saba alafu ana ku bip? au l lov u too. manaake nn?
 
Nishawahi ambiwa baby yani mwenzio hata cjielewi 2likuwa 2na type kazi ambayo twatakiwa kui submitt kesho na Marry kwenye laptop ya best ye2 m1 hivi anaitwa Anna sasa c bahati mbaya Marry c akaingusha yani screen yote imevunjika nyan'ganyan'gaaaaa...mwenyewe ataka tumlipe laki4...sasa yabidi 2lipe mie na Marry, nimemuomba mama ameni2mia laki naomba uniazime laki nitakurudishia nikipata plz my lov naomba uniokoe...lov u u u u
 
Inashangaza sana.

Hata mtaani tu, mtu akuuguliwa mnaweza kumpa pole ya hela, akifiwa rambi rambi. Sasa kwenye mapenzi ya kileo haadi rambirambi ni hongo?

wanaume wa dotcm hao ni majanga. acha wazee wawasaidie. usipomjali mpnz wako wakat wa matatzo utamjali wakat gani sasa!!
 
Back
Top Bottom