Njia rahisi za kuupata/kuukosa Ukuu wa Wilaya nchini

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚waaow unapoita mataga hujapanic wakati nyumbu ndo jina lenu. chezea mama kulinda legacy
hahaha hapa tayari Numbisa umepanic

baasi Kamamaa, kunywa maji baridi, tulia kwenye kivuli hasira zipungue alafu uje tuendelee 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Pole kwa kuvunjika moyo,ila usikate tamaa,ipo siku watakuona,ila usiwatukane wenyemawazo mbadala.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚waaow unapoita mataga hujapanic wakati nyumbu ndo jina lenu. chezea mama kulinda legacy
jamani nyie si mnajiita mataga wenyewe au mmebadili jina 🀣 🀣 🀣
 
Usipotoshe watu. Wameteuliwa Ma DC zaidi ya 180. Kati yao, pungufu ya 10 ndio walikuwa Chadema na mmoja (CUF). Ina maana zaidi 170 ni wana CCM halafu unakuja humu unademka!
 
🀣🀣🀣 ila kuna kaukweli, ufia chama ni ujinga tu siku hizi. Watu wataanza kulalama kama Nape Nnauye eti mfia chama
 
Ukweli unauma.hao wa chadema si ajabu mashushu.Waziri Ummy Mwalimu uwe makini nao.
 
Usipotoshe watu. Wameteuliwa Ma DC zaidi ya 180. Kati yao, pungufu ya 10 ndio walikuwa Chadema na mmoja (CUF). Ina maana zaidi 170 ni wana CCM halafu unakuja humu unademka!
Daima chama tawala ndio kinatoa wanachama wake waaminifu.CCM ina wanachama hai milioni 8.waliokuwa Chadema au CUF wakajiunga na CCM kufuata vyeo waachwe.Mashushushu wa mbowe hao!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…