STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,638
- 16,568
Watu wengi sana humu mitaa tunamoishi wamekua wakisumbuliwa na msongongo wa mawazo ila kuna ambao wanaweza kuhandle na ambao hawawezi wanabaki na maumivu mioyoni mwao.
Chanzo cha msongo wa mawazo kinaweza kuwa ni maradhi, matukio ya aibu, kuibiwa, kutapeliwa, kukosa kipato, umaskini, mapenzi, kutotimiza malengo, migogoro ya family, kuwa na wasiwasi kupitiliza n.k
Kuna watu mitaani kwetu unapowaona wanakua na tabasamu kubwa kwenye face zao ila yaliomo ndani ya mioyo yao Mungu pekee ndio anafaham.
Njia rahisi ya kupunguza msongo wa mawazo
- Amini kila kitu ni (qadar) kimepangwa na kitapita
kwa sababu inawezekana ww unapanga Y but imeandikwa upate Z
- Tembelea mahospital hata kama huna mgonjwa utaona una afadhali.
- Ukikuta omba omba kaa chini muulize story yake yaweza kukufariji.
- Usijifungie ndani kakae kijiwe cha kahawa au shoe shine
Sikiliza story za wenzako na walichomokaje kwenye matatizo huenda ulikuwa unajipa stress buree.
- Tembelea NGO's zinazotoa msaada wa afya ya akili itakusaidia.
- Fanya mazoezi, kama kucheza mpira wa miguu, basketball , volleyball, kukimbia au hata kutembea beach
- Kumuona daktari sio lazima kidonda au malaria hata depression nenda wamesoma namna ya kutibu kwa kuongea nawe.
Kingine wakati unapanga maisha usiwe na expectations kubwa sana weka malengo kulingana na umri.
- Amini utaanza kumiliki buku ndio ije milioni.
Usiwaze kuwa kwenye forbes wakati kula matatizo
Na amini hio buku pia inaweza kupotea ukaanza mwanzo.
Ukianza kuamini mapema haitakusumbua
ZINGATIO
Usimueleze kila mtu shida zako coz wengine watakucheka na wanafurahia unavyopata shida na pia wanaweza wakazisema changamoto zako kwa watu wengine
Usijitie mawazo sana haya maisha ni mafupi sana na yakupita so ukipata time ya kufurahi basi furahi ata kama kilichosababisha furaha yako ni kidogo au thamani yake ni ndogo