Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,467
- 40,458
Jaribu kutumia njia hiyo, mafanikio utayaonaingekua rahisi hivi watu tusingekua tunalialia humu kuomba ushauri
Atakushukuru kwanza kwa kumthamini, na atakuambia ukweliHalafu unajipata unamwambia hivyo mke au mume wa mtu...
😂😂😂 ni usanii wa mjiniSiku hizi wanawake wanajirekodi video clip na kupost kwenye mitandao ya kijamii wakijifanya kujitambua, kuwasifia wanaume na kutoa Rai kwa wanawake wengine wasiwabugudhi wanaume. Basi wanaume wanajaa wakidhani ni wife material kumbe ni trick
Kwenye ndoa lazima mlane kimasiharaKujitaftia kuliwa kimasihara huku
Simpaka uipate hiyo ndoa unaweza liwa na ndo ukaiskia kituo cha polisiKwenye ndoa lazima mlane kimasihara
Ndo msimu wao huu mwambaSiku hizi wanawake wanajirekodi video clip na kupost kwenye mitandao ya kijamii wakijifanya kujitambua, kuwasifia wanaume na kutoa Rai kwa wanawake wengine wasiwabugudhi wanaume. Basi wanaume wanajaa wakidhani ni wife material kumbe ni trick
X- massKama wewe ni mwanamke ama mwanaume, tumia njia hii kupata mume/mke pale unapokutana na mtu aliyeuteka moyo wako, na umwambie hivi:-
Kwa mwanaume: - 'Kuna sauti inaniambia wewe ndio mke wangu'
Kwa mwanamke:- 'Kuna sauti inaniambia wewe ndio mume wangu'
Unapokuwa unamwambia, uwe siriazi na uwe na tabasamu la mbali; baada ya hapo utaona ameshikwa na mshangao na ataongea kwa hisia. Kama yuko 'single' utakuwa umejinyakulia ushindi.
Mkuu achana na story za kitoto ninachotaka kukuambia ni kwambaKama wewe ni mwanamke ama mwanaume, tumia njia hii kupata mume/mke pale unapokutana na mtu aliyeuteka moyo wako, na umwambie hivi:-
Kwa mwanaume: - 'Kuna sauti inaniambia wewe ndio mke wangu'
Kwa mwanamke:- 'Kuna sauti inaniambia wewe ndio mume wangu'
Unapokuwa unamwambia, uwe siriazi na uwe na tabasamu la mbali; baada ya hapo utaona ameshikwa na mshangao na ataongea kwa hisia. Kama yuko 'single' utakuwa umejinyakulia ushindi.
Kuna sauti inaniambia wewe ndio ubavu wangu, mke mwema wanguingekua rahisi hivi watu tusingekua tunalialia humu kuomba ushauri
Sawa endeleeni kukataliwa
Inategemea, unaweza kutumia njia zingine kumridhisha
Na wewe utampima kufuatana na vigezo vyakoX- mass
Inategemea mkuu, kwa hiyo usipokuwa na pesa usioe?Mkuu achana na story za kitoto ninachotaka kukuambia ni kwamba
1.kama wewe ni mwanaume tafuta pesa narudia tena tafuta pesa hiyo ndio silaha pekee itayokupatia mpenzi umtakaye
2.kwa mwanamke sifa kuu awe mpole tuu