Njia rahisi ya kujilipua Abroad, (Risk Takers & Wapambanaji tukutane hapa)

Inabid ufatilie chuo kwa undani zaid, kama kipo recognized..if am not mistaken kuna kitu wanaita H+ jaribu kuangalia km kipo ranked H+ then ni safe kuchagua
 
Kwangu naona njia rahisi kuzamia Kiwanja ambazo ziko tried and tested ni 1.kuomba kwenda kama mwanamichezo ama msanii kuhudhuria mashindano,tamasha,maonyesho ya kazi za sanaa.

2.Kwenda kama mtalii

3.Kuomba kwenda kuhuzuria maonyesho ya kibiashara,conventions,exhibitions,mikutano.

4.kwenda kusoma lugha

Ubalozi wanachoangalia ni dokumaa sahihi na kama muombaji anafanana na dokumenti alizoleta

Kuingia haijawahi kuwa tatizo,changamoto kubwa ni namna ya kubaki na kubaki kwako kukawa na maslahi.na kupata makaratasi.

kama lengo lako ni kuzamia na kwenda kwa gia ya shule huwezi, pambana upate viza hata ya wiki moja tu,usilazimishe kupata ya muda mrefu.kuna mshkaji alipewa ya siku sita saiv ana miaka 10 na familia juu hukohuko alipoingia kwa makubaliano ya kukaa wiki.

La muhimu uwe na mwenyeji huko ugenini unakotaka kwenda na ujue sheria zikoje na uwezekano ya kupata makaratasi na je kuna maslahi au laa?
 
Humble African umefunga pm? check emali plz.
 
Vipi kama nitaamua kuwatumia hawa jamaa wanaolink wanafunzi na vyuo vya nje??mfano global education link?kuna urahisi wowote au sawa tu na kufanya mwenyewe??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh hii gpa sas mbona wengine tumezungusha saan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na sisi wadangaji nchi nzuri ya kudanga ni ipi jaman ?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama sio wa kutoka nje ya nchi sio wa kutoka tu

Kuna siku niliweka post humu kuhusu Canada na program yao ya miaka mitano ambapo wanatafuta raia million 1 jamaa wanai promote kweli hiyo policy.

Moja ya watu wanaopewa kipaumbele ni wanachama wa jumuiya ya madola na waziri anae promote hiyo sera ni mwenye asili ya somalia kuonyesha africans ni watu wanaowataka hakuna hata mtu alieuliza swali utaratibu ukoje; kinachotokea waombaji wanakuwaga Pakistan, India, Bangladesh mpaka wanafuta na program zenyewe sisi waafrika tumelala.

Halafu ndio wafuate njia hizi complicated, wakuondoka wanapataga tu mbinu na wa kubaki ni kuwabaki tu
 
Mkuu uwe unaweka tu sio mpaka watu waulize

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vp kama una diploma ya engineering na cheti cha form four chenye matokeo mazuri unaweza pata nafasi kwl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…